GRAPHICS NDIO MPANGO MZIMA

Mambo ya graphic designing haya kama una kazi yako unataka ifanyiwe hivi please nitafute tutafanya....

MAMBO YA KARATE HAYO!!

Pichani ni sensei mtalajiwa majaliwa anayekipiga chuoni makumira mwaka wa pili katika mambo ya sayansi ya computer, hapa akivalishwa mkanda wa rangi ya manjano kutoka kwa sensei Ngonyani.